Shati na viatu vyake unanunua kiwanja na unajenga -Shinyanga

Achana na ushindi wa Simba hapo Jana dhidi ya Tanzania Prison!! Nataka kukupa taarifa kuwa hata Rais wa Heshima-Simba, @moodewji ni mtu wa Fashion kinoma ambapo hivi karibuni ametupia mavazi kutoka kampuni kubwa ya mitindo ya Christian Dior SE, inayojulikana kama Dior, ambayo ipo huko nchini Ufaransa.

Mo amevalia Shirt ya Dior Oblique Short-Sleeved yenye thamani ya $1,650.00, ambayo ni sawa na Tsh/= 4,132,976.13 (pesa ya gari aina ya IST used kabisa wanangu au PS 5 hii).

Na viatu amevalia Dior Loafers ambavyo vinauza kiasi cha $1,173.00 kutoka BUYMA na pesa hii ni sawa na Tsh/= 2,938,170.30 pesa ya kununua Iphone 15 kabisa pale Dubai. Jumla ametumia kiasi cha Tsh/= Mil.7,071,146.43. kwenye shati na viatu tu! Hapo sio suruali wala saa au miwani.r

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *