Shabiki kindaki ndani wa Simba SC, anayejulikana kwa jina la GB 64, kwa sasa yupo Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akalala ndani na anaweza akakosa kuitazama mechi ya kesho ya Debry ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC.
