Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Serikali kutangaza ajira 47,000

Serikali imepanga kutangaza ajira mpya takribani 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene wakati akizungumza na watumishi wa umma wilayani Chato mkoani Geita na kueleza uhaba wa watumishi unatokana na ujenzi wa miundombinu unaoendelea.

Simbachawene ameeleza, katika kuendelea kukabiliana na uhaba wa watumishi wa kada tofauti kwenye ofisi za umma hadi mwezi Agosti 2023 serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kutoa ajira kwa watumishi 129,074.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *