Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere lazinduliwa Makao Makuu ya Umoja wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amehudhuria uzinduzi wa sanamu la Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwenye makao makuu ya Umoja wa Africa (AU) yaliyoko Addis Ababa Nchini Ethiopia.

Marais wa Nchi mbalimbali wameshiriki uzinduzi huu akiwemo Rais wa Kenya William Ruto, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema, Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt. jakaya Mrisho Kikwete na Viongozi wengine wa Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *