SALALI WA FDH AOMBA RIDHAA KUWANIA UONGOZI JIMBO LA MPWAPWA

Mkurugenzi wa Taasisi ya Foundations for Disabilities Hope (FDH), Maiko Salali leo Juni 29,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge katika Jimbo la Mpwapwa.

Salali amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya, Denise Luhende.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *