SABAYA AJITOSA MBIO ZA UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amechukua fomu rasmi kuomba ridhaa ya CCM ili aweze kuliongoza Jimbo la Arumeru Magharibi.

Sabaya amechukua fomu hiyo hii leo Julai Mosi 2025 akimbatana na Mkewe Jesca Thomas katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arumeru.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *