W๐ฎ๐ท๐๐บ๐ฏ๐ฒ ๐ป๐ฎ Wa๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ M๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ A๐ฟ๐ฑ๐ต๐ถ ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ถ ๐๐ฎ K๐ฎ๐๐ฎ, wametakiwa ku๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐ธ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ฝ๐๐ธ๐ฎ ๐ต๐ผ๐ป๐ด๐ผ pindi ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐ฝ๐ผ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ usuluhishi wa migogoro.
Hato yamebainshwa na ๐ ๐ธ๐๐ ๐๐ฎ ๐ช๐ถ๐น๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฟ๐ถ๐ป๐ด๐ฎ, ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ wakat akifungua semina elekezi kwa Wajumbe wa mabaraza ya ardhi Manispaa ya Iringa.

Amesema, rushwa haitakiwi katika utoaji wa haki, huku akiwapa rai kwamba hela za hongo hazitawafikisha popote na kwamba wanatakiwa kujitolea kwa haki.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Iringa, Antigon John amewataka Wananchi kuacha wosia ili kuepuka migogoro na kurahisisha ugawaji wa mali kwa familia.

Naye Mwenyekiti wa Tanganyika Law Society (TLS) Kanda ya Iringa, Moses Ambindwile amesema semina hiyo ni muhimu kutokana na wingi wa migogoro ya ardhi na nyumba inayoshughulikiwa na mabaraza.