Staa wa muziki kutoka Nigeria, Ruger amezindua lebo yake ya muziki na ameipatia jina la ‘Blown Boy Ent.’
Ruger amesema hayo hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare video fupi iliyoonyesha lebo yake ya Blown Boy.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz