Klabu ya Simba imemtangaza rasmi leo kumalizana na kocha wake Mbarazil, Roberto Oliveira (Robertinho).
Kocha huyo alijiunga na wekundu wa Msimbazi mnamo Jaruari 3, mwaka huu akitokea Vipers ya nchini Uganda

P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz