Taarifa kubwa ni juu ya staa wa muziki Rihanna, ambaye ana ripotiwa kuwa ifikapo mwaka 2024-2025 atakuwa na ziara ya Dunia nzima.
Mrembo huyo atazunguka dunia na kutia ndimu za kutosha kwenye kila eneo baada ya kumwaga wino na kupokea mtonyo wa kutosha kutoka kampuni ya Live Nation.