Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rihanna amtaja Davido kwenye hili

Staa wa muziki Rihanna ameweka wazi kuwa mwaka huu amevutiwa zaidi na ngoma ya “Unavailable” ya mtu mzima Davido na Musa Keys.

Pia ametaja ngoma “Mnike” ya Tyler ICU.

Rihanna amefunguka hayo katika uzinduzi wa bidhaa zake za Fenty X Puma huko Los Angeles – Marekani, siku ya Jumatatu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *