Rihanna ampa jina mtoto wake wa pili

Rihanna na mpenzi wake A$AP Rocky wameshampatia jina mtoto wao wa pili ambaye alizaliwa Agosti mwaka huu, mtoto huyo wa kume ataitwa Riot Rose Mayers.

Mtoto wao wa kwanza kwa waili hao alizaliwa Mei 13, 2022 na amepewa jina la Wu-Tang RZA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *