Rihanna ajifungua mtoto wa pili

Good new! Kwa team Rihanna na A$AP Rocky kwani familia imeongezeka kwa  wawili hao kupata mtoto wao wa pili na wakike.

Awali taarifa za mrembo huyo kupata mtoto wa pili zilianza kuzagaa mtandaoni siku sita zilizopita, ila Rihanna kupitia kampuni yake wakazindua nguo za wamama wajawazito.

Rihanna alitangaza kuwa na ujauzito wa pili kwenye shoo ya Super Bowl Half Time, mapema mwezi Febuari 12, 2023. Na alipata mtoto wake wa kwanza Mei, 2022  aitwaye RZA Athelston Mayer.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *