Rapa Rick Ross ametoa heshima na upendo kwa marais wa nchi za Afrika akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania huku akiahidi kufanya colabo na
msanii wa muziki wa Bongo Fleva Tanzania Harmonize
Rapa huyo ameonekana akiyasema hayo kupitia Insta Stories kwenye ukurasa wake.