Katika hali ya kushangaza, Msanii wa hip-hop, kutoka nchini Marekani, Rick Ross ametangaza kushindana kiteknolojia na Bilionea Elon Musk baada ya video yake iliyoibuka mitandaoni akizungumzia mipango yake kabambe ya kuunda chumba cha chini ya ardhi kama sehemu ya maandalizi yake ya kifo chake (kaburi).
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz