Rick Ross atangaza ajira mshahara Mil.288

Rapa Rick Ross ametangaza ajira ya mhudumu wa ndege yake binafsi (Private Jet) ambaye atamlipa mshahara wa dola 115,000 sawa na Tsh Milioni 288 kwa mwaka.

Rick Ross amefunguka hilo kupitia video hii aliyoshare kwenye ‘Insta story’ yake akieleza kuwa “Natafuta mhudumu wa ndege yangu ni lazima uwe na uzoefu ,uwe mchangamfu na uwe vizuri katika kumuhudumia Ross”.

Pia Rick Ross amebakiza mwaka mmoja tu kufikia level ya kuitwa Bilionea rasmi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *