Kutoka Mavin Records, staa wa muziki Reama ametukia Zaidi ya Naira Milioni 700 ambazo ni sawa na Zaidi ya Bilioni 1 ya Tanzania kununua gari mbili ambazo ni G63 G-Wagon na Lamborghini Urus.

Gari hizo amenunua kutoka Polancoexoticcars, na ndio waliyoweka wazi taarifa hizo.




