Rema atajwa kujiunga Freemason

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Rema, anaingia kwenye vichwa vva habari kutokana na video ya ngoma yake mpya ya Don’t Leave ambayo ipo kwenye EP yake ya Ravage, inayotarajiwa kutoka siku ya ijumaa kuingia matatani.

Video hiyo imezua gumzo na kufanya msanii huyo kudaiwa kuwa amejiunga na Freemason.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *