Staa wa muziki kutoka Nigeria, Rema ataungana na mastaa wa kubwa duniani kama vile Nicki Minaj, TY Dollar$, French Montano, Quavo, Adam Levine, na David Guetta katika albamu mpya ya Jason Derulo iitwayo ‘Nu King’ inayotarajiwa kutoka Febuari 16 mwaka huu.
Awali Rema na Jason Derulo wameshafanya kazi pamoja iitwayo ‘Ayo Girl’ ambayo ni remix. Na pia Rema amefanya kazi na mastaa wakubwa kama vile Selena Gomez ‘Calm Down remix’ na Ice Spice ‘’Pretty Girl’