Rema ajiweka mbali na show mpaka 2024

Zikiwa zimesalia siku 32 kumaliza mwaka 2023, staa wa muziki kutoka Nigeria, Rema ametangaza kuchukua likizo fupi kwa sasa kwenye show zake mpaka mwaka 2024.

Rema amefunguka hayo katika ukurasa wake wa Instastory huku akibainisha suala zima la kujali afya yake kwa sasa ndio kitu bora.

Miezi ya hivi karibuni msanii huyo amekuwa akifanya show nyingi kama vile NBA All Syar Half Time, Ballor Dior na nyinginezo na Wiki kadhaa amefanya show yake katika ukumbi wa 02 Arena huko Uingereza na aliweza kuondoka na kijiji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *