Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rema agoma kutumbuiza huko Atlanta, Marekani

Staa wa muziki wa Afrobeats wa Nigeria, Divine Ikubor almaarufu Rema, amekataa kutumbuiza huko Atlanta, Marekani, Alhamisi akidai hali mbaya ya ukumbi huo.

Katika hali ya kusikitisha, mwimbaji huyo amesema tamasha hilo halitaendelea akitaja wasi wasi wa usalama na kutoheshimu mashabiki wa Afrobeats

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *