Rema aachia REVAGE

Ijumaa ya leo staa wa muziki, Rema, ameachia rasmi EP ya RAVAGE, ambayo ina ngoma zipatazo tano ambazo ni Trouble Maker, DND, Smooth Criminal, Don’t Leave na Red Potion.

Kila ngoma kutoka kwenye EP hiyo inaleta stori mpya na kuonyesha ubunifu wake kwenye sekta ya sanaa. Mfano siku kadhaa aliingia kwenye story kuwa amejiunga na mashetani (FreeMason) kutokana na video ya Don’t Leave.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *