Real Madrid wamekubali kumsajili mdogo wake Kylian Mbappe

Klabu ya sokoa ya Spain, Real Madrid imekubali kumsajili mdogo wa mshambuliaji huyo wa Ufaransa Kylian Mbappe, Ethan kutoka Paris St-Germain, kama sehemu ya makubaliano ya kumsajili wa mchezaji huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *