Rayvanny azoa Tuzo tano ndani ya usiku mmoja

Kutoka nchini Kenya, mkali wa Muziki wa Bongofleva na CEO wa Next Level Music kutokea Tanzania Rayvanny usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kushinda tuzo tano za East Africa Arts Entertainment Awards (EAEA).


Rayvanny amebeba tuzo ya katika vipengele vya ‘Msanii Bora wa Kiume – East Africa’, ‘Album/EP bora – East Africa’, ‘Mwandishi bora – East Africa’, ‘Best lovers’ Choice single – East Africa’ na ‘Best inspirational single – East Africa’.

Mastaa wengine kutoka Bongo waliobeba tuzo ni Harmonize’Single of the Year’, Diamond Platnumz’ Artist of the year’, S2kizzy’Producer of the year’ na Jux kupitia ngoma ya Enjoy aliofanya na Diamond’ Collabo of the year’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *