Rayvanny awaburudishwa mashabiki elfu 30 Albania

Big Boss wa Next Level Music, Rayvanny, usiku wa jana amefanikiwa kuuteka ulimwengu wa muziki huko nchini Albania, ambapo ameenda kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la msanii wa nchini humo, Noizy liitwalo ‘Alpha Show’.

Rayvanny ameandika historia nyingie kwenye muziki wa Bongo Flava kwa kuwaburudisha watu wapatao Elfu 30 waliofika kwenye tamasha hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *