Rayvanny ashindwa kutumbuiza Congo

Staa wa muziki Rray Vanny , amemtupia lamawa Promota Happy People kutoka Goma -Congo kwa kushindwa kutumbuiza kwenye shoo iliyotakiwa kufanyika Goma usiku wa kuamkia leo na kupelekea fujo hadi shoo kuharibika.

“GOMA PROMOTERS Happy_people_DRC !!!!! WATU WAMEKUJA KUNIONA NA MUMESHINDWA KUNIFATA HOTELINI HADI MUDA HUU WATU WAMESUBIRI HADI WAMECHOKA NA FUJO ZIMETOKEAA HADI SHOW IMEHARIBIKA ITS SO PAINFUL WHY ????? !!!! I FEEL SO BAD WHY MMESHINDWA KUACHA NIFURAHI NA WATU WANGU ???? 😭😭😭😭😭😭😭 I LOVE YOU #GOMA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I FEEL SOOOOOOO BAD,” ameandika Rayvanny kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *