Rayvanny akutana na shabiki wa Marehemu Kanumba

Akiwa kwenye m,matembezi yake nchini Afrika Kusini, CEO wa Next Level Music Rayvanny amekutana na mwanadada ambaye ni shabiki wa marehemu Steven Kanumba.

Rayvanny akiwa kwenye moja ya Duka ambalo alienda kufanya manunuzi, alimuuliza mrembo huyo kuhusiana na muigizaji wa kiume anayemfahamu Tanzania na bila kusita anamtaja Kanumba.

Kanumba alifariki Aprili 7, 2012 .

Unazikumbuka filamu za Kanumba?? Ni filamu gani ilikuvutia Zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *