Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rayvanny akutana na nguli wa Filamu Marekani

Staa wa muziki Bongo na CEO wa Next Levl Music, Rayvanny ambaye kwa sasa yupo nchini Ufaransa amekuwa miongoni mwa waudhuriaji wa shoo ya Lacoste Fashion Show: Fall Winter 2024, ambayo imefanyika jana Machi 5 huko Paris, Ufaransa.

Na Rayvanny alipata nafasi ya kukutana na watu mashuhuri tofauti akiwemo Muigizaji nguli wa filamu kutoka nchini Marekani, Adrien Brody.

Brody amewahi kuwa mshindi wa Tuzo ya Academy (Oscars) kama muigizaji bora kupitia filamu The Pianist ya mwaka 2002.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *