Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rayvanny ajifananisha na Michael Jackson

Staa wa muziki Bongo, ambaye ni mmliki wa Lebo ya Next Level Music, Rayvanny ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo tano za muziki za EAEA nchini Kenya amejifananisha na mastaa wa kubwa wa muziki akiwemo hayati Michael Jackson.

Rayvanny pia amejifananisha na mastaa kama Drake, Beyonce, Adele, Taylor Swift na Billie Eilish ambao wamewahi kubeba tuzo nyingi za muziki duniani kwa mara moja zikiwemo tuzo za Grammy.

Baada ya kunyakua tuzo hizoRayvanny amekuwa msanii kwa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo nyingi zaidi kwa mara moja kwa tuzo za nje ya nchi yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *