Rayvanny afuata nyayo za ‘Mondi’

Staa wa muziki, Rayvanny anaingia kwenye historia kwa kufikisha watazamaji bilioni 1 kwenye mtandao wa YouTube ambao unatumika kuweka kazi zake za kisanii.

Rayvanny anakuwa msanii wa pili ukanda wa Afrika Mashariki kufikisha idadi hiyo kubwa ya watazamaji, ambapo nafasi ya kwanza ikishikwa na Diamond pPlatnumz mwenye jumla ya views bilioni 2.3. Na Diamond alifikisha watu hao Juni mwaka 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *