Rapa NBA Young Boy akamatwa na Polisi

Rapa NBA Young Boy anashikiliwa katika huko jimbo la Utah nchini Marekani kwa tuhumua za makosa mbalimbali ikiwemo kufanya malipo ya mifumo ya shughuli zisizo halali, kununua au kujaribu kununua dawa za kulevya, ulaghai wa utambulisho na kumiliki silaha.

Inaelezwa kwa rapa huyo alikamatwa akiwa nyumbani kwake na mpaka sasa mtandao wa DJ Akademiks, umeweka wazi kuwa hajatolewa kwa dhamana yoyote.

Hii sio mara ya kwanza kwa msanii huyo kuwekwa chini ulinzi wa polisi kwa makosa mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *