Rapa 21 Savage anaamini wazazi maskini ni bora zaidi

Kupitia mahojiano ya kina na podcast ya Shannon Sharpe’s Club Shay Shay, rapa wa Marekani 21 Savage ametoa maoni yake kuwa wazazi maskini au wenye mafanikio kidogo ni bora zaidi kuliko matajiri kwani wanaweza kutumia muda wao mwingi na familia zao, jambo ambalo anathamini sana.

Mahojiano hayo yaliyofanyika Jumatano tarehe 24, rapa huyo ametoa mtazamo huo kutokana na uzoefu wake mwenyewe wa kujaribu kusawazisha maisha ya familia na kumfanya ahisi kuwa kazi yake ya muziki inamzuia kuwa na watoto wake kikamilifu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *