Kulingana na falsafa ya Feng Shui, kila mwaka ina rangi yake ya bahati na kwa 2023,rangi ya Forest Green (Kijani ya porini) inatajwa kuwa rangi ya bahati kwa mwezi huu wa kumi 2023.
Forest green ni rangi ambayo inaweza kuwakilisha vitu vyote duniani. Pia unaweza kutumia rangi hii katika mavazi yako na pia katika urembo wa nyumba yako.
Rangi hii inatajwa kuleta amani, afya pindi inapokuwa sehemu husika kama vile ikitumika kupenezesha nyumba basi nyumba itakuwa ya amani, afya na furaha.
Kwa mwezi huu zipo rangi zipatazo nne zinatajwa kuwa za bahati ambapo leo tumeitazama moja ila kuna nyekundu, Pink na blue. Hizi tutaangazlia wakati ujao.