Kundi la wanasarakasi kutoka Tanzania Ramadhani Brother wamefanikiwa kuibuka washindi kwenye shindano la America’s Got Talent: Fantasy League na kujinyakulia kiasi cha mpunga mrefu ambao ni Dola $250,000 ambazo ni sawa na Tsh Milioni 637/=
Vijana hawa kutoka 255 wanakuwa waafrika wa kwanza toka Afrika(Afrika Mshariki) kushinda shindano hilo.