Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amefika nyumbani kwa Baba yake Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Ali Mwinyi amefika nyumbani kwa Baba yake Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi Mikocheni Dar es salaam kwa ajili ya taratibu za msiba.

Rais mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuzikwa kesho Unguja, Zanzibar Jumamosi March 02 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *