Rais Samia kulipia matibabu ya Haitham Kim

Wakati wasanii kama Harmonize, Alikiba, Maua Sama na wengineo wakitafuta ahueni ya msanii mwenzo Msanii Haitham Kim ambaye amelazwa katika hospitali ya Wilaya ya Temeke kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na changamoto ya mapafu iliyosabisha ashindwe kupumua!! Ombi la Harmonize la kumuomba Rais Samia kumsaidia msanii huyo hatimaye limejibiwa kupitia kwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mohamed Mwinjuma ‘Mwana FA’.

Haitham Kim , melazwa katika hospitali ya Wilaya ya Temeke kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na  changamoto ya mapafu iliyosabisha ashindwe kupumua  na anahitaji matibabu ambapo gharama za matibu, kwa siku ni Tsh 700,000 .

Namba ya kuchangia chochote 0746747726 – Jina, Bryson Peter Mtei.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *