RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI BUTIMBA MKOANI MWANZA
PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipozindua Mradi wa Maji Butimba Mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi katika Mkoa huo leo Juni 20, 2025.