Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi Wafanyabiashara kulipa kodi ipasavyo, ili kukusanya fedha nyingi za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo na nchi ipunguze kukopa.
Haya hapa Matukio tofauti ya Picha wakati Rais Samia alipozindua rasmi jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Simiyu, wakati wa ziara ya kikazi Mkoani humo hii leo Juni 16, 2025.




