Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rais Samia awapa machinga kiwanja na mil. 10 kujenga ofisi

Shirikisho La Umoja Wa Machinga Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Limekabidhiwa Kiwanja Chenye Hatimiliki Pamoja Na TZS Milioni 10 Ambazo Zimetolewa Na Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Ofisi Yao.

Katibu Mkuu Wa Shirika Hilo, Venatus Magayane Amesema Kila Mkoa Wenye Wafanyabiashara Hao, Rais Samia Amewapa TZS Milioni 10 Na Kiwanja Chenye Hatimiliki Kwa Ajili Ya Ujenzi Wa Ofisi, Hivyo Baada Ya Ujenzi Kukamilika Machinga Watakuwa Na Nafasi Ya Kukopesheka Na Tassisi Za Kifedha Tofauti Na Hapo Awali.

Kwa Kuunga Mkono Jitihada Za Rais Samia Kwa Machinga Hao, Mkuu Wa Wilaya Ya Kahama , Mboni Mhita Amewaongezea TZS Milioni 1.5 Kwa Ajili Ya Kuanza Ujenzi Wa Ofisi Hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *