Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Rachel Stephen Kasanda, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi.

Rachel anachukua nafasi ya Lauteri John Kanoni aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo, ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz