RAIS SAMIA ASHIRIKI HARAMBEE UJENZI KITUO CHA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam kushiriki Harambee ya Uchangiaji fedha za Ujenzi wa kituo Cha Watoto wenye Mahitaji Maalumu cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Center leo Juni 5, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *