Rais Samia ampa kazi nyingine Msingwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, nafasi iliyoachwa wazi na Msigwa itatangazwa baadaye

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *