Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rais Samia amewaachia huru wafungwa 263

Rais Samia Suluhu Hassan amewaachia huru wafungwa 263 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Aidha, amewapunguzia adhabu wafungwa wawili waliohukumiwa adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha maisha, pamoja na wafungwa 1,979 kupunguziwa sehemu ya adhabu zao.
Najua Watu kadhaa washajaribu kumsaidia lakini bado hajakaa sawa, nipo tayari kumsaidia ,kuondokana kabisa na tatizo lake la kutumia Uraibu wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *