RAIS SAMIA AFANYA TEUZI ZINGINE LEO…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rutani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Walioteuliwa ni hawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *