RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata Mashariki kwenye Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ikiwa ni Siku ya kwanza ya ziara Mkoani humo hii leo Februari 23, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *