Maafisa 32 kutoka nchini Kenya, wamefunga ndoa ya pamoja katika kambi ya Embakasi Barracks.
Harusi hizo ziliratibiwa na Ofisi ya Mke wa Naibu Rais wa Kenya Bi. Dorcas Rigathi na kulikuwa na mahubiri kutoka kwa Askofu Dkt Pius Muiru.
Wanandoa hao pia wamepokea zawadi kila mmoja kutoka kwa Rais William Ruto na Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz