Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rais Mwinyi aridhia ombi la Waziri kujiuzulu

Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali ombi la kujiuzulu la Simai Mohamed Said, aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale.

Taarifa ya Serikali imesema Rais Mwinyi ameridhia ombi hilo kuanzia leo Januari 26, 2024 ikiwa ni muda mfupi tangu Simai atoe taarifa kuwa anaachia nafasi hiyo kutokana na mazingira ya utendaji kazi kutokuwa rafiki kwake.

Siku chache zilizopita, akiwa Waziri, Simai alinukuliwa akisema Hoteli za Zanzibar zinakabiliwa na upungufu wa Pombe ambao unaleta athari na sintofahamu ya kurudisha nyuma Biashara ya Utalii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *