Radi yaua 6 wakisherehekea Mahafali

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Nicodemus Katembo, kutokea kwa vifo vya watu sita baada ya kupigwa na Radi katika kijiji cha Maparagwe, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, huku wengine Watano wakijeruhiwa katika tukio hilo.

Kamanda Katembo Amesema tukio hilo limetokea jana Desemba 03, 2023 majira ya saa 12 jioni, kijijini hapo ambapo wananchi walikusanyika katika sherehe ya kumpongeza kijana aliyehitimu ya kidato cha Nne nyumbani kwa Saidi Makuluwano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *