Quavo na Offset waungana kutumbuiza kwenye tuzo za BET

Waliokuwa wakijiuliza kama Migos wangeimba pamoja tena au lini baada ya kifo cha kutisha cha mwanzilishi mwenza, Takeoff wamepata jibu lao kwenye ugawaji wa tuzo za BET 2023 ambapo Quavo na Offset wameungana tena na kushangaza watu kwa kutumbuiza kwenye tuzo hizo wakitoa heshima kwa mwenzao Takeoff aliyefariki.

Wawili hao wametumbuiza wimbo wa Hotel Lobby ambao umeimbwa na marehemu Takeoff na Quavo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *