Msanii mkongwe wa Hip Hop, nchini Profesa Jay, ameachia E.P yake ‘Nusu Peponi, Nusu Kuzimu’ yenye ngoma zipatazo nne na tatu ni kolabo.
EP ina ngoma kama
1.SIKU 462 Ft Walter Chilambo
2. CALLING Ft Alikiba
3.HAYAKUHUSU
4.SHEMEJI SHEMEJI Ft Ndelah

EP hiyo imetoka siku ya Jumapili katika uzinduzi wa Taasisi yake ya yake Professor Jay Foundation inayojihusisha kusaidia wagonjwa wa figo.